Friday, August 12, 2011

STEP aside The KinaJotti,Second chance,Jumong............I Bring You....... BUNGE LA TANZANIA

Salaam to all my dopestaz,its been awhile i know.. i know...but you all know its Ramadan so i really have to watch what i say...but eiiish!(kiswahili tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiime) Jamani hili Bunge letu ni noma aiiiise,.kwanza,kama wewe ni mbunge wa Chadema  hauruhusiwi kuongea kwa muda mrefu,cha pili kama wewe ni mbunge kijana alafu wa Chadema ukiongea unaonekana mjinga unaambiwa"embu kaachini kwanza" usitingishe kichwa hapa alaaa",.......cha tatu,hakunakusikilizana humuuu...ubabe ubabe tuh.....mpaka kutishia kuanzisha ngumi humo ndani,......alafu mama Spika nae kila mala anasahau kama hilo ni Bunge sio darasa alikokua anafundisha huko kwao njombe.....utasikia "weweeee, embu kimnya kwanza bee!",....haya kisa cha kuangalia vitu vingine kwenye tv? na huku kuna bunge letu?kuna kina SUGU SUGU SUGUUUUU...music channel za nini na Mc anaflo LIVE LIVE humu eeeh?Jumong ya nini wakati kuna kitu KABWE?.....Salverdor wa nini na MH MBOWE yupokutoa busaraaa?aaai!.Mie kama mtanzania nashukuru Mungu Chadema imeweza kuchukua nafasi kubwa katika hili Bunge letu,wanawatia hekaheka wazee  wa Ccm mpaka wanaanza kuonyesha uhayawani wao LIVE LIVE(fide iranga'z voice)...............................................................................................!ENDELEENI KUANGALIA BUNGE LA TANZANIA....UCHESHI,VICHEKESHO NA UBABE!!!

No comments:

Post a Comment